Skip Navigation

DVD Ilustrado Multilíngue

The Biology of Prenatal Development


6 - 8 Semanas


BIOLOJIA YA UKUAJI WA MTOTO TUMBONI

.Swahili


 

Baixar Versão em PDF  O Que é PDF?
 

Desenvolvimento Embrionário: 6 a 8 Semanas

Capítulo 20   6 Semanas: Movimento e Sensação

Kufikia wiki ya 6 kizio ya ubongo unazidi kukua Zaidi kuliko sehemu nyinginezo za ubongo.

Kijitoto huanza Kujinyoosha na kuanza kuhisi. Kujinyoosha huku ni muhimu Kwa ukuaji bora wa michocheo-hisia na misuli.

Eneo la mdomo ukiguswa hufanya kijitoto Kihisia, kuiondosha kichwa chake.

Capítulo 21   A Orelha Externa e a Formação de Célula Sanguínea

Upande wa nje wa sikio huunza kuumbika.

Kufukia wiki 6 nayo damu uanza kuumbwa katika maini ambamo chembe ziitwazo lymphosit kwa wakati huu upo. Hivi aina ya chembe mweupe wa damu ni muhimu katika huumbaji wa kinga mwilini.

Capítulo 22   O Diafragma e os Intestinos

Sehemu ya kifua misulu muhimu ya kufutia pumzi, huumbika zaidi kufikia wiki 6.

Sehemu ya matumbo huanza kuonekana ukijielekeza kwa ukamba. Mfanyiko huu wa kawaida huuitwa phisiolojiki hanisioni na husababisha kuumbika kwa sehemu zingine karibu na tumbo.

Capítulo 23   Placas da Mão e Ondas Cerebrais

Kufikia wiki 6 viganja huanza kunyooka na kuwa bapa.

Vipimo vya masafa ubongoni umewahi kurekodiwa mapema ya wiki 6 na siku 2.

Capítulo 24   Formação do Mamilo

Chuchu (titi) hujitokeza upande wa kiwiwili muda mfupi kabla ya kufikia sehemu zao za kawaida Mbele ya kifua.

Capítulo 25   Desenvolvimento dos Membros

kufikia wiki 6 ½ sehemu goti za mkono zadhiirika, vidole vinaanza kujitenga, na kunyooshwa kwa mikono kuonekana.

Kuumbika kwa mifupa kupitia mfanyiko huitwao osifikisheni haunzia mifupa ya shingo au mitulinga, na mifupa wa taya ya juu na chini.

Capítulo 26   7 Semanas: Soluços e Resposta a Susto

Chechevu umewai kuonekana katika wiki ya 7

Kunyooshwa kwa miguu yaweza kuonekana sasa, Pomoja na hisia za mstuko.

Capítulo 27   O Coração Desenvolvido

Migawanyiko mine ya moyo huwa imekamilika kwa kiwango kubwa. Kwa ujumla,moyo kwa sasa hupiga mara 167 kwa dakika.

mifanyiko ya kiistima moyoni uliowai kurekodiwa katika wiki 7 ½ hudhiirisha miundo masafa kama ya mtu mzima.

Capítulo 28   Ovários e Olhos

Kwa kike, mfuko wa yai zalishi huweza kuonekana kufikia wiki 7.

Kufikia wiki 7 1/2 Sehemu ya rangi katikati la jicho uonekana kwa urahisi na kope yaanza kipindi cha kukua kwa haraka.

Capítulo 29   Dedos das Mãos e dos Pés

Vidole vimetengana Na vidole vya miguu vimeungana katika mizizi wz uwayo tu.

Mikono sasa yaweza kufikiana, na pia nyayo za miguu

Kiungo cha goti kipo pia kufikia wakati huu.
6 - 8 Semanas