CinemaCoração e Sistema Circulatório |
Compre AgoraDe The Biology of Prenatal Development. |
Roteiro: Wakati chembe za damu zinapo jitokeza katika ule mfuko maji mifereji ya damu huundwa kote kote embryoni, na sehemu anzishi ya moyo huanza kuchipuza. Karibu mara moja, ule moyo unaanza kukua kwa haraka huunza kujikunja na sehemu zake muhimu huuanza kuumbika. Moyo huunza kupiga wiki 3 na siku moja baada ya kutunga mimba. Mfumo wa kuzungusha damu ni mfumo wa kwanza wa mwili, au kundi la viungo vinavyohusiana Kupata kuweza kufanya kazi . |
Todas as idades fizeram referência a fecundação, não ao último período menstrual.
|
< Anterior | Veja Instantâneos | Próximo > |