CinemaFertilização até o Nascimento e Além |
Compre AgoraDe The Biology of Prenatal Development. |
Roteiro: Kuanzia kutunga mimba hadi kuzaliwa kwa mtoto na baadaye, Kukua kwa binadamu ni mfanyiko uendeleayo bila kikomo na ngumu. Matokeo mapya ya utafiti kuhusu mfanyiko huu wa kustajabisha huendelea kudhihirisha athari za ukuaji wa kijusu katika afya ya binadamu maishani kote. Jinsi ufahamu wetu wa ukuaji wa kijusu unavyo zidi kuimarika ndivyo uwezo wetu wa kuimarisha afya unavoy zidi kuwa bora zaidi kabla na baada ya mtu kuzaliwa. |
Todas as idades fizeram referência a fecundação, não ao último período menstrual.
|
< Anterior | Próximo > |