| |
Capítulo 1 Introdução
|
| |
| Jinzi chembechembe umbile
za kijusu cha binadamu
zinavyo ongezeka na kufikia
trillioni 100 kwa mtu mzima,labda
ni jambo moja la kustaajabisha
zaidi kati ya maumbile duniani kote.
|
| Wanautafiti wanafahamu kwamba nyingi
ya Kazi za kawaida
zinatotekelezwa na mwili wa binadamu
zinamarishwa wakati wa ujauzito-
mara mingi, muda mrefu
kabla ya kuzaliwa kwa mtoto.
|
| Ukuaji wa kijusu kabla ya kuzaliwa
inaendelea kufahamika kuwa
ni wakati ya utaharishaji
ambapo
kijusu umbile
upata viungo vingi
na kuanza kujizoesha mbinu
tekelezi zitakazohitaji
maishani, mara baada ya kuzaliwa.
|
Capítulo 2 Terminologia
|
| Ujauzito kwa binadamu , kwa kawaida
Udumu takribani wiki 38
kuanzia siku ya kwanza
Wa kutunga mimba
hadi kuzaliwa.
|
| Katika wiki 8 za kwanza
ukuaji wa kijusu cha binadamu
huitwa embryoni(embryo)
na humaanisha "kukua ndani".
wakati huu, huitwao
wakati wa kiembryoni,
huhusishwa
na kuambwa
Kwa mifumo muhimu
ya viungo vya mwili.
|
| Kuanzia wiki ya 8
hadi mwisho wa mimba
" binadamu umbile uitwa kijusu"
kinacho maanisha
"mwana ambaye hajazaliwa"
Katika wakati huu,
huitwao wakati wa ujusu,
mwili hukua zaidi na
Sehemu zake kuanza kufanya kazi.
|
| umri wa kiembroyoni na ujusu
katika mpangilio huu
humaanisha wakati
tangu utungaji wa mimba.
|