| |
Desenvolvimento Embrionário: 4 a 6 Semanas
Capítulo 11 4 Semanas: Líquido Amniótico
|
| |
| Kufikia wiki 4
amioni nyepesi-wazi
huunza kuzunguka kijitoto
na imo katika mfuko maji.
Huu maji salama
huutwao maji ya amioni
huumpa kijitoto
ulinzi kutokana na majeruhi.
|
Capítulo 12 O Coração em Ação
|
| |
| Moyo kwa kawaida hupiga
Mara 113 kwa dakika.
Kumbuka kuwa
Moyo ubadalisha rangi
damu unapoingia na kuondoka
kwa kila mpigo.
Moyo hupiga
Takriban
mara millioni 54
kabla ya kuzaliwa
na zaidi ya millioni 3.2
Katika maisha
Ya kufikia miaka 80.
|
Capítulo 13 O Crescimento do Cérebro
|
| |
| Ukuaji wa haraka wa ubongo
hudhihirishwa na
mabadiliko katika umbo
wa sehemu ya mbele ya ubongo
ubongo-kati
Na ubongo-nyuma.
|
Capítulo 14 Brotos dos Membros
|
| |
| Maungo ya juu
unaanza kuumbika
Kwa kujitokeza
Kwa mizizi yake kufikia wiki 4
|
| Ngozi wakati huu
huwa wazi na nyepesi
Kwa sababu upana wake
ni wa chembe moja tu.
Wakati upana wa ngozi
uanapozidi kuimarika,
uwazi huu utafungika,
kumaanisha kwamba tutaweza
kuona viungo vya ndani
Vikikua kwa karibu muda
wa mwezi moja tu.
|
Capítulo 15 5 Semanas: Hemisférios Cerebrais
|
| |
| Kati ya wiki 4 na 5,
ubongo uendelea
kukua kwa haraka
na kujigawa
katika sehemu tano mahuzusi(ada).
Kichwa hujumuisha karibu 1/3
wa ujumla wa sehemu za kijitoto.
kizio wa ubongo hujitokeza,
na pole pole pole ikakua na kuwa
sehemu kubwa zaidi ya ubongo
Kazi zitakazotekelezwa
na ubongo,
ni kama vile, fikira, kujifunza,
fikira,kuongea,kuona,
kuzikia, mienendo ya viungo
na kutatua mambo.
|
Capítulo 16 Vias Respiratórias Principais
|
| |
| Katika mfumo wa pumuzi,
upande wa kushoto na kullia wa mizizi
wa mifereji mdogo wa pumzi huwepo
na mwisho utajiunganisha
na bomba kubwa wa kufutia hewa,
na mayavuyavu.
|
Capítulo 17 Fígado e Rins
|
| |
| Ini kubwa unao jaza sehemu
ya tumbo uonekana
karibu na moyo unayopika.
Figo wa kudumu ujitokeza
baada ya wiki 5.
|
Capítulo 18 Saco Vitelino e Células Germinativas
|
| |
| Mfuko -maji huwa na
chembe uzazi za mwanzo
Zaitwazo chembe zalishi chipuzi
Kufikia wiki 5
hivi chembe chipuzi huhamia
sehemu za uzazi
karibu na figo.
|
Capítulo 19 Placas da Mão e Cartilagem
|
| |
| Pia kufikia wiki 5
kijitoto huunda
mzizi wa kiganja
na mifupa mwororo huanza kuumbika
kufikia wiki 5 i/2.
Kufikia hapa tutaweza kuona
kiganja cha kushoto
na kiwiko katika
wiki ya 5 na siku 6
|