| |
Desenvolvimento Embrionário: 6 a 8 Semanas
Capítulo 20 6 Semanas: Movimento e Sensação
|
| |
| Kufikia wiki ya 6
kizio ya ubongo unazidi kukua
Zaidi kuliko sehemu
nyinginezo za ubongo.
Kijitoto huanza Kujinyoosha
na kuanza kuhisi.
Kujinyoosha huku ni muhimu
Kwa ukuaji bora
wa michocheo-hisia na misuli.
|
| Eneo la mdomo ukiguswa
hufanya kijitoto
Kihisia, kuiondosha kichwa chake.
|
Capítulo 21 A Orelha Externa e a Formação de Célula Sanguínea
|
| |
| Upande wa nje wa sikio
huunza kuumbika.
|
| Kufukia wiki 6
nayo damu uanza kuumbwa
katika maini
ambamo chembe ziitwazo lymphosit
kwa wakati huu upo.
Hivi aina ya chembe mweupe wa damu
ni muhimu
katika huumbaji wa kinga mwilini.
|
Capítulo 22 O Diafragma e os Intestinos
|
| Sehemu ya kifua
misulu muhimu
ya kufutia pumzi,
huumbika zaidi kufikia wiki 6.
|
| Sehemu ya matumbo
huanza kuonekana
ukijielekeza kwa ukamba.
Mfanyiko huu wa kawaida
huuitwa phisiolojiki hanisioni
na husababisha kuumbika kwa sehemu
zingine karibu na tumbo.
|
Capítulo 23 Placas da Mão e Ondas Cerebrais
|
| |
| Kufikia wiki 6 viganja
huanza kunyooka na kuwa bapa.
|
| Vipimo vya masafa ubongoni umewahi
kurekodiwa mapema ya wiki 6 na siku 2.
|
Capítulo 24 Formação do Mamilo
|
| |
| Chuchu (titi) hujitokeza
upande wa kiwiwili
muda mfupi kabla ya kufikia
sehemu zao za kawaida
Mbele ya kifua.
|
Capítulo 25 Desenvolvimento dos Membros
|
| |
| kufikia wiki 6 ½
sehemu goti za mkono zadhiirika,
vidole vinaanza kujitenga,
na kunyooshwa kwa mikono
kuonekana.
|
| Kuumbika kwa mifupa kupitia
mfanyiko huitwao osifikisheni
haunzia mifupa ya shingo
au mitulinga,
na mifupa
wa taya ya juu na chini.
|
Capítulo 26 7 Semanas: Soluços e Resposta a Susto
|
| |
| Chechevu umewai kuonekana
katika wiki ya 7
Kunyooshwa kwa miguu
yaweza kuonekana sasa,
Pomoja na hisia za mstuko.
|
Capítulo 27 O Coração Desenvolvido
|
| |
| Migawanyiko mine ya moyo huwa
imekamilika kwa kiwango kubwa.
Kwa ujumla,moyo kwa sasa hupiga
mara 167 kwa dakika.
mifanyiko ya kiistima moyoni
uliowai kurekodiwa katika wiki 7 ½
hudhiirisha miundo masafa
kama ya mtu mzima.
|
Capítulo 28 Ovários e Olhos
|
| |
| Kwa kike, mfuko wa yai zalishi
huweza kuonekana kufikia wiki 7.
|
| Kufikia wiki 7 1/2
Sehemu ya rangi katikati la jicho
uonekana kwa urahisi
na kope
yaanza kipindi
cha kukua kwa haraka.
|
Capítulo 29 Dedos das Mãos e dos Pés
|
| |
| Vidole vimetengana
Na vidole vya miguu vimeungana
katika mizizi wz uwayo tu.
|
| Mikono sasa
yaweza kufikiana,
na pia nyayo za miguu
Kiungo cha goti
kipo pia kufikia wakati huu.
|