Skip Navigation

DVD Ilustrado Multilíngue

The Biology of Prenatal Development




BIOLOJIA YA UKUAJI WA MTOTO TUMBONI

.Swahili


 

Baixar Versão em PDF  O Que é PDF?
 

Um Embrião de 8 Semanas

Capítulo 30   8 Semanas: Desenvolvimento do Cérebro

Katika wiki ya 8 ubongo Umeimarika na ujumisha takriban nusu ya uzito ya kijitoto.

Kukua uendelea Kwa kiwango kikubwa zaidi.

Capítulo 31   Característica de Destro e Canhoto

wiki 8, 75% ya vijitoto hudhihirisha Kuimarika kwa matumizi wa mkono wa kulia Sehemu zilizopakia (25%) Ugawanyika kiasi sawa baina ya matumizi ya mkono-kushoto na wasio dhirisha upande wowote. Hii ndio dalili ya matumizi ya mkono wa kulia au kushoto.

Capítulo 32   Virar

Wataalamu ya watoto, wasema Uwezo wa kujipindua kwa mtoto ujitokeza Wiki 10 hadi 10 baada ya kuzaliwa. Hata hivyo, huu shirikisho muafaka hujitokeza mapema Mle tumbo mwa mama. kuwa tu nguvu zaitajika kuweza kukabili mazingara nje ya nyumba ya mtoto uzasabisha ugumu wa kujipindua baada ya kuzaliwa.

Kijitoto anaanza kuwa na nguvu wa kucheza Wakati huu.

Kujinyoosha waweza kuwa haraka au pole pole, mara moja au mingi, Kwa hisia au bila.

Kuzungusha kichwa, kupindua shingo, na mkono kufikia usoni Ujitokeza zaidi.

kijitoto akuzwa,hudhihirisha upogo (kupogoa), pia,kunyooka kwa taya, kushika, na kuelekeza kidole huonekana.

Capítulo 33   Fusão da Pálpebra

kati ya wiki 7 na 8 kope za juu na chini hukua kwa haraka na kushikana kwa kiasi.

Capítulo 34   Movimento de Respiração e Micção

Ijapokuwa hakuna hewa chupa (chumbani mwa mtoto) Kijitoto hudhihirisha dalili za Kupumua na kufuta hewa wiki ya 8.

Kufikia wakati huu, figo hutoa makochoo na huelekezwa katika kile mfuko maji uliofunika mtoto

kwa mtoto mume, makende zaanza Kutoa mbegu za uzazi.

Capítulo 35   8 a 9 Meses (32 a 36 Semanas): Formação dos Alvéolos, Segurar com Força, Preferências de Gosto

Mifupa, viunganishi, misulu,michocheo, na mifereji ya damu katika maungo ya juu na chini hufanana na ya mtu mzima.

Kufikia wiki ya 8, sehemu ya nje ya ngozi ujikawa katika vipande rusu na uwazi wake huanza kutoweka.

Ushi hukua huku nywele huanza kuonekana sehemu ya mdomo.

Capítulo 36   Resumo das Primeiras 8 Semanas

Wiki 8 ndio mwisho wa ule wkati wa embryoni.

Katika wakati huu, Embryoni amekua kunzia chembe moja na kufikia chembe billioni 1 na huunda zaidi ya miundo chembe ada 4,000.

Kijitoto aanza kuwa na zaidi ya 90% ya miundo zinazo patikana kwa mtu mzima.